Hifadhi ya Mpanga Kipengere yagawa Ekari 52,877
Hifadhi ya Mpanga Kipengere imechukua hatua muhimu kwa kugawa ekari 52,877.602 kwa vijiji vinavyoizunguka, ikiwa ni juhudi za kutatua migogoro ya mpaka kwenye eneo hilo. Hatua hii imefanyika baada ya mchakato wa kina ulioongozwa na Wizara ya Maliasili na Utalii …