Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Watayarishaji wa Filamu wa Korea na Waandaaji na Waigizaji wa Filamu wa Tanzania Jijini Seoul, 01 Juni 2024 kujadli mambo mbali mbali yanayohusu Tasnia ya sanaa na kubadilishaja ujuzi kwa lengo la kujifunza.
haya yamejiri katika ziara Rasmi ya kikazi anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea , Mama samia ameongozana na wawakilishi wa wasanii akiwemo Muigizaji Elizabeth Michael(Lulu}na Vyone Cherrie{Monalissa} huku kwa upande wa waandaji wa filamu akiwemo Leah Mwendamseke{Lamatha}
Soma Zaidi:Samia’s South Korea Trip To Yield Sh6.5 Trillion
Ikumbukwe siku chache zilizopita Rais alitangaza rasmi kuwachukua baadhi ya wasanii na waandaaji wa filamu nchini na kuambatana nao katika ziara yake Nchini korea kwa lengo la kujifunza mambo mengi ikiwemo ubora wa uaandaaji wa filamu na sanaa nzima kwa ujumla ikiwemo kujadili namna nchi hizi mbili zitasaidiana katika Tasnia ya sanaaa.
Soko la sanaa ya filamu “Bongo Movie” imeendelea kushika hatamu ndani na nje ya mipaka ya Afrika huku baadhi ya tamthilia zikijanyakulia tuzo ndani na nje ya Nchi
Can I just say what a relief to find someone who actually knows what theyre talking about on the internet. You definitely know how to bring an issue to light and make it important. More people need to read this and understand this side of the story. I cant believe youre not more popular because you definitely have the gift.