Kupitia ukarasa wakijamii wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ametoa maoni yake kuhusu suala la Serikali kulipia Baadhi ya Mashabiki wa Yanga kwenda Afrika kusini kutazama mechi ya marudiano kati ya Mamelodi na Yanga itakayochezwa ijumaa wiki hii.
Ahmed Ally amesema kuwa “Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri.Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000”
Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo. Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.
Ahmed ameongeza kuwa “Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu”
Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua
Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima??
Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??
Halafu nyie Nyuma Mwiko acheni kuzuga huwezi kulipia nauli watu 48 ukajidai eti unawapenda mashabiki zenu, Wakati kwenye mechi yenu juzi Mashabiki wameumia, wamepigwa mabomu ya machozi, watu wamepata vilema, na hamjasema chochote halafu uje uzuge eti unawapenda watu wenu
Read>> http://Mamadou Gaye Awaonya Mamelodi Dhidi Ya Yanga
Read>>http://A revenge war – Simba SC Vs Jwaneng Galaxy
Ndugu zangu wana Simba hili swala lisiwatie unyonge na wala Serikali yetu haina nia ya kufanya ubaguzi
Sisi tuendelee na utamaduni wetu kujisimamia tukipata msaada tutachukua lakini katu tusilemae kusubiri dezo
We are Simba Sisi ni Wakubwa, Sisi ni Wafalme, Sisi tuna hadhi kubwa” Ahmed Ally
Maneno hayo ya Ahmed Ally yamezua utata mtandaoni kutokana na mashabiki wa klabu ya Simba kutolipiwa na serikali kwenda kushangilia timu yao
I think tһis is one оf the most implortаnt informatіօn for me.
And i am glad reading your article. But wannɑ remark on some ցenerаl tһings, The web site style is wonderful, tһe
articles is really great : D. Ԍood job, сheers
my homepage: mpo338
My coder is tгying tо convince me to move to .net from PHP.
І have alwaүѕ disliked the idea because of thе expenses.
Butt һe’s treyiong none the lesѕ. I’ve beеn using Movable-type on a nnumber of websites f᧐r аbout а уear and am anxious about
switching to anotheг platform. Ӏ һave heard ցood thіngs ɑbout blogengine.net.
Ӏѕ therе ɑ way I сan transfer all my wordpress content intο it?
Any heⅼp woulɗ bbe reallү appreciated!
Feel free to surf tо my web ⲣage – pacientes rituximab precio
Hello my friend! I wish to say that this post is awesome, great written and come
with approximately all important infos. I would like to peer more posts like this .
After going over a few of the blog articles on your web page, I really
appreciate your way of writing a blog. I saved it to my bookmark site list and will be checking back
in the near future. Please visit my website as well and tell
me how you feel.
What’s Happening i’m new to this, I stumbled upon this I’ve found It positively useful and it has helped me out loads.
I hope to contribute & aid other customers like
its aided me. Great job.
This is a topic which is close to my heart… Cheers! Exactly where are your contact details though?