Serikali Kulipia Mashabiki Sio Jambo Jema-Ahmed Ally
Kupitia ukarasa wakijamii wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ametoa maoni yake kuhusu suala la Serikali kulipia Baadhi ya Mashabiki wa Yanga kwenda Afrika kusini kutazama mechi ya marudiano kati ya Mamelodi na Yanga itakayochezwa …