Dark
Light

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024.
January 30, 2024
by

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Chief justice seeks talks with Ruto over threats on judges

Kenya’s Chief Justice Martha Koome says the judiciary has written

Tunisia court sentences ex-president Marzouki to 8 years in absentia

A Tunisian court sentenced former President Moncef Marzouki to eight