Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka mtu aliyerekodi video iliyokuwa ikimwonyesha Waziri na Mbunge Mstaafu wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, akidhalilishwa kwa maneno, vitisho, dharau na kutishiwa kufungwa pingu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Pius Lutumo, alisema jana katika taarifa yake kwamba mtu huyo anayetuhumiwa kusambaza video hiyo ikimwonyesha Dk. Kawambwa na mwenzake Cathbert Enock kwenye mitandao ya kijamii, ajisalimishe katika kituo cha polisi Bagamoyo.
Soma: Kosta lagongana uso kwa uso na Lori 9 wafariki Bagamoyo
Katika taarifa hiyo aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alisema tukio hilo lilitokea Aprili 24, mwaka huu, majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Kitopeni wilayani Bagamoyo.
SACP Lutumo alisema mtuhumiwa huyo alisambaza video hiyo iliyokuwa na maneno ya kumdhalilisha Dk. Kawambwa kwamba: “Shukuru Kawambwa Waziri wa Miundombinu enzi hizo, sasa dalali wa viwanja Bagamoyo na mhalifu wa kawaida’.
Alisema katika tukio hilo, Diwani Mstaafu wa Kiromo, wilayani Bagamoyo, Hassan Usinga, na askari mgambo, Abdallah Mgeni, waliwashambulia Dk. Kawambwa na wenzake kwa maneno huku wakilazimisha wafungwe pingu.
Chanzo cha tukio hilo kinaelezwa kuwa ni magari ya mchanga ya mtuhumiwa kuharibu barabara na mashamba ya watu yakipita katika eneo hilo hali iliyosababisha wananchi kufunga barabara kwa magogo kuzuia uharibifu kuendelea.
Kamanda Lutumo alisema watuhumiwa hao wawili, Usinga na Mgeni, walikamatwa na polisi na baadae kuachiwa kwa dhamana kwa mujibu wa sheria na watafikishwa mahakamani uchunguzi ukikamilika kuhusiana na tukio hilo.
Mbali ya tukio hilo kuelezea kutokea Aprili 24, mapema Aprili 25, video ya tukio hilo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikimwonyesha mtuhumiwa akimtolea maneno makali na ya dharau Dk. Kawambwa.
Let’s you meet people you can never meet in real life.
Wow! In the end I got a web site from where I
can really obtain helpful data concerning my study and knowledge.
What i don’t realize is if truth be told how you are not
really much more neatly-preferred than you
may be right now. You’re so intelligent. You realize therefore significantly in the case of
this topic, produced me in my view imagine it from numerous varied
angles. Its like women and men aren’t involved
except it’s one thing to accomplish with Lady gaga!
Your personal stuffs nice. At all times care for it up!
It’s remarkable to visit this site and reading the views of all friends concerning this post, while I am
also zealous of getting knowledge.
Because the admin of this web page is working, no hesitation very soon it will be well-known, due to
its feature contents.
Appreciate this post. Will try it out.
In fact when someone doesn’t know then its up to other viewers
that they will help, so here it occurs.