Msanii wa Bongo fleva Harmonize anaonekana kuwa na hamu ya kuonyesha ujuzi wake katika mchezo wa ngumi na anadai kuwa yeye ni professional boxer.
Hiyo inaonekana kama ni hatua mpya katika kazi yake baada ya muziki, akiingia katika uwanja mpya wa michezo. Itakuwa ya kusisimua kuona jinsi atakavyofanya katika ulingo.
“Ushindani Kwenye Muziki Umepungua Sanaa!!!! Nguvu Nyingi Zimehamia Kwenye Media !!! Nafikiri huu ndio muda wa kuonesha ulimwengu upande wangu wa pili wa mchezo ambao kiukweli naweza kuucheza ,mtaje mpiganaji wako pendwa ambaye anamkanda hata mmoja ,tafadhalini namaanisha” Harmonize
Bondia Hassan Mwakinyo amepanga kumfanya msanii Harmonize kama mfano kwa wengine endapo atathubutu kupanda ulingoni na kuzichapa nae kwa kumshushi kipondo haswa.
Kupitia mtandao wa kijamii bondia huyo alituma kipande cha video baada ya kuona maneono ya msanii Harmonize kutaka pambano na yeye
Everyone loves what you guys are up too. This sort of
clever work and coverage! Keep up the great works guys I’ve included you guys to my blogroll.
my page; 토토사이트
Women are desirable outside the relationship as well.