Uhamisho wa mchezaji wa timu ya PSG ya Nchini Ufaransa Kuelekea Real Madrid ya nchini uhispania limekamilika na muda wowote kuanzia sasa mchezaji huyo nyota wa kutoka nchini ufaransa atatangazwa kama mchezaji mpya wa miamba hiyo kutoka uhispania.
Tetesi zinaeleza yakuwa mchezaji huyo aliyedumu PSG kwa takribani miaka sita sasa alianza mazungumzo na Madrid tangu mwezi wa pili na sasa deal limekamilika huku ikitegemewa mchezaji huyo kutangazwa muda wowote kuanzia sasa hasa baada ya mabingwa hao kutwaa kombe la mabingwa ulaya usiku wa kuamkia leo dhidi ya timu ya Dortmund kutoka huko Ujerumani.
Soma Zaidi:Mbappe Aghadhabishwa na Swali
Endapo Mbappe atatangazwa rasmi kama mchezaji mpya wa madrid rasmi atakuwa ameingia rasmi kwenye “show za ligi ya mabingwa ulaya” huku timu ya madrid ikimbeba na rekodi nzuri kwenye michuano hiyo kama kutopoteza fainali za kombe hilo kwa takribani miaka 40.
Mbappe anaiacha PSG kama mchezaji huru huku akiwa na kiwango bora tangu kujiunga na wababe hao licha ya kuwekwa kwenye minzani na wakongwe wa mpira duniani katika timu hiyo kama Neymer Jr pamoja na Lionel Messi
Hi there, i read your blog from time to time and i own a similar one
and i was just wondering if you get a lot of spam feedback?
If so how do you reduce it, any plugin or anything you can suggest?
I get so much lately it’s driving me mad so any assistance is very
much appreciated.
We’re a group of volunteers and starting a new scheme in our community.
Your web site offered us with valuable info to work on. You’ve done a formidable job and our whole
community will be grateful to you.