Mabaki ya ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, pamoja na abiria wengine tisa, yamepatikana bila mtu yeyote aliyenusurika, Rais Lazarus Chakwera ametangaza.
Ndege hiyo ilipotea kwenye rada za uwanja wa ndege Jumatatu asubuhi, ikiwa safarini ndani ya nchi. Wanajeshi walikuwa wakipekua Msitu wa Chikangawa katika juhudi za kuitafuta ndege hiyo.
Katika kikao na wanahabari Jumanne, Rais Chakwera alisema kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Malawi alimjulisha kuwa shughuli ya utafutaji na uokoaji imekamilika na ndege hiyo imepatikana. Rais Chakwera alionyesha huzuni kubwa na masikitiko makubwa kwa kufahamisha Wamalawi kuhusu mkasa huo mbaya. Timu ya uokoaji ilikuta ndege hiyo ikiwa imeharibika kabisa.
Soma:Miaka Mitatu Ya Samia Viwanja Vya Ndege 5,Madaraja 8 Yakamilika
Makamu wa Rais Chilima na Rais Chakwera wanatoka vyama tofauti lakini waliungana kuunda muungano wakati wa uchaguzi wa 2020. Dk Chilima, mwenye umri wa miaka 51, alikuwa akielekea kuiwakilisha serikali katika mazishi ya aliyekuwa waziri wa serikali, Ralph Kasambara, aliyefariki siku nne zilizopita.
Mke wa Rais wa zamani, Shanil Dzimbiri, pia alikuwa kwenye ndege hiyo, iliyopaa kutoka mji mkuu, Lilongwe, Jumatatu asubuhi. Ilikusudiwa kutua kwenye uwanja wa ndege katika mji wa kaskazini wa Mzuzu, lakini ilirudishwa kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Dk Chilima amekuwa makamu wa rais wa Malawi tangu 2014 na alipendwa sana nchini Malawi, hasa miongoni mwa vijana, shirika la habari la AFP linaripoti. Hata hivyo, alikamatwa na kufunguliwa mashtaka mwaka 2022 kwa madai ya kupokea pesa ili kutoa kandarasi za serikali. Mwezi uliopita, mahakama ilitupilia mbali mashtaka hayo bila kutoa sababu za uamuzi huo. Dk Chilima ameacha mke na watoto wawili.
OPELGAMING adalah Bandar Situs Judi Online Terbesar dan Terpercaya di Indonesia,
Situs Judi Online yang tergabung dalam Manajemen CIA88Group tersebut diantaranya:
CIATOTO, COITOTO, CIUTOTO, BANDARTOTO666, OPELGaming, SBOBET Key, dan TOKECASH.
Their daughter displays no enthusiasm for being a boy.
BANDARTOTO666 adalah Bandar Situs Judi Online Terbesar dan Terpercaya
di Indonesia, Situs Judi Online yang tergabung dalam Manajemen CIA88Group tersebut diantaranya: CIATOTO,
COITOTO, CIUTOTO, BANDARTOTO666, OPELGaming,
SBOBET Key, dan TOKECASH.
Especially when you, too, will broadcast your cam.
England’s Dreaming, pp. 379-380, 388-389, 413-414.