Msanii maarufu kutoa Marekani Mwanadada Taylor Swift amejitokeza kumuunga mkono Lady Gaga, ambaye alichapisha video akikanusha uvumi wa ujauzito, kwa kuita maoni kuhusu hilo “ya kuvamia na kutowajibika”.
Waimbaji hao wawili mashuhuri wa Marekani walijibu baada ya uvumi mtandaoni kuwa mwimbaji aliyeshinda tuzo ya Grammy na mshindi wa tuzo ya Oscar Lady Gaga alikuwa mjamzito.
Watu walianza kutoa maoni yao baada ya kuonekana kwa picha za nyota huyo akiwa na mpenzi wake Michael Polansky walipokuwa wakisherehekea harusi ya dadake Natali Germanotta nchini Marekani.
Gaga alichapisha video kwenye TikTok, akirejelea wimbo Down Bad, kutoka kwa albamu mpya ya Swift, akisema: “Not pregnant – just down bad cryin at the gym.”
Swift alichapisha chini ya video hiyo: “Je! sote tunaweza kukubaliana kuwa ni uvamizi na kutowajibika kutoa maoni juu ya mwili wa mwanamke.
“Gaga hana mtu yeyote ambaye ni lazima ajieleze kwake na wala mwanamke yeyote yule.”
Maoni ya Swift yalisababisha watu wengi kujibu, kama vile “Gaga na Taylor OMG” na mapendekezo ya matumaini kwamba wawili hao wanaweza kufanya ushirikiano wa muziki.
Hii si mara ya kwanza kumekuwa na uvumi mtandaoni kuhusu iwapo mtu mashuhuri ni mjamzito.
Thanks for every other excellent article. Where else may anybody get that kind
of info in such a perfect way of writing? I’ve a presentation next week, and I’m on the look for such info.
Appreciate it for this howling post, I am glad I detected this internet site on yahoo.
Hiya! I know this is kinda off topic nevertheless
I’d figured I’d ask. Would you be interested in trading links or maybe guest
writing a blog article or vice-versa? My blog addresses a lot of the same topics as yours and I believe we could greatly benefit from each other.
If you are interested feel free to shoot me an e-mail.
I look forward to hearing from you! Excellent blog by the way!
wonderful post, very informative. I wonder why the opposite experts of this sector don’t realize
this. You should proceed your writing. I’m sure, you’ve
a huge readers’ base already!