Uhusiano wa sekta mbali mbali kati ya china na Tanzania umeendelea kuimarika siku hadi siku na hii imedhihirishwa na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Misaada la China (CIDCA), Luo Zhaohui aliposema kuwa Nchi hiyo itaendelea kufadhili miradi mipya ya kimkakati ya Tanzania inayoendelea, baada ya kuridhishwa na utekelezwaji ya miradi ya awali.
Mkuu huyo wa Shirika la Kimataifa la Misaada la China (CIDCA), Luo Zhaohui, aliyasema hayo kwenye mazungumzo yake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, yaliyofanyika jijini Beijing, China mwishoni mwa wiki.
Soma Zaidi:Makamba Awasili China kwa Ziara ya Kikazi
Katika Mazungumzo hayo Zhaohui alisema kuna uwezekano mkubwa kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaweza kusaini mikataba mipya ya ushirikiano na misaada Septemba mwaka huu pembezoni mwa mkutano wa Wakuu wa Nchini na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC) ambao amealikwa tayari.
“Tumesikia maelezo yako ndugu Waziri na nikuahidi kwamba tutafadhili hatua ya pili ya miradi inayoelekea kukamilika awamu ya kwanza na mingine ambayo umeiomba tunaweza hata kusaini wakati Rais wako atakapokuja Septemba mwaka huu,” alisema Zhaohui.
CIDCA ndiyo taasisi inayopitisha misaada na mikopo ambayo serikali ya China kutoa kwa nchi zote duniani na Waziri Makamba alikwenda kufanya mazungumzo na mkuu huyo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi inayoendelea nchini China.
Great work! That is the kind of information that are meant to be shared around the web. Disgrace on Google for no longer positioning this put up upper! Come on over and consult with my web site . Thanks =)
Wow! Thank you! I continually needed to write on my site something like that. Can I implement a part of your post to my site?
You can certainly see your skills within the paintings you write. The sector hopes for more passionate writers such as you who are not afraid to say how they believe. At all times go after your heart.
Very interesting details you have remarked, regards for putting up. “These days an income is something you can’t live without–or within.” by Tom Wilson.
Thank you for the sensible critique. Me & my neighbor were just preparing to do some research on this. We got a grab a book from our area library but I think I learned more clear from this post. I’m very glad to see such great info being shared freely out there.
Somebody essentially help to make seriously articles I would state. This is the first time I frequented your website page and thus far? I amazed with the research you made to create this particular publish incredible. Magnificent job!
I?¦ll right away take hold of your rss feed as I can’t to find your email subscription link or newsletter service. Do you’ve any? Please permit me understand so that I may subscribe. Thanks.
I envy your piece of work, regards for all the good blog posts.