Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya mwaka 2024 hadi asilimia sita, ambayo itatumika katika robo ya pili ya mwaka 2024, huku ikielezea mwenendo wa thamani ya Shilingi.
Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa benki na waandishi wa habari, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema uamuzi wa kuongeza riba ulifikiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika jana Aprili 3, 2024 na umezingatia tathimini ya mwelekeo wa uchumi iliyofanyika Machi 2024.
Gavana Tutuba amesema lengo ni kudhibiti mfumko wa bei nchini ambao kwa sasa upo wastani wa asilimia tatu.
“Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6.”
Akitoa taarifa ya kamati hiyo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Benki Kuu Dar es Salaam mbele ya wakuu wa taasisi za fedha na vyombo vya habari, Gavana wa Benki Kuu, Bw. Emmanuel Tutuba amesema marekebisho ya CBR yatakayotekelezwa kwa robo ya pili ya mwaka huu, yaani Aprili hadi Juni 2024, yamo ndani ya wigo wa asilimia 2 juu na chini.
Read>> http://Serikali Ilibatilisha Leseni Maduka Ya Kubadilishia Fedha
Hatua hii inaonesh azma ya benki kuu katika kudumisha utulivu katika mabadiliko ya uchumi.
Tathmini ya MPC kuhusu hali ya uchumi duniani inaonesha mwelekeo mzuri, huku uchumi wa nchi zilizoendelea na zinazoibukia ukiwa na mwenendo bora.
Read>> http://Dkt. Nchemba Aongoza Mkutano Wa Benki Ya Dunia Kanda Ya Afrika
Akizungumza baada ya kutangazwa kwa CBR, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabenki Tanzania, Bw. Theobald Sabi, ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania kwa kuja na kiwango hicho kinachozingatia mazingira ya sasa hivi.
Pia ameiishukuru Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano wake inaotoa katika maeneo mbalimbali yenye changamoto katika sekta ya mabenki, likiwemo tatizo la upatikanaji wa fedha za kigeni.
Hi excellent website! Does running a blog such as this require a
massive amount work? I have no expertise in coding but I had been hoping to start my own blog in the near future.
Anyway, if you have any suggestions or tips for new blog owners please share.
I know this is off subject nevertheless I just needed to
ask. Thanks!
Good site you have here.. It’s difficult to find high-quality writing like yours these days.
I truly appreciate individuals like you! Take care!!
If you would like to improve your experience only keep visiting this web page and be updated with the most recent news posted here.
Hmm it appears like your blog ate my first comment (it was super long) so I
guess I’ll just sum it up what I wrote and say, I’m thoroughly
enjoying your blog. I as well am an aspiring blog writer
but I’m still new to the whole thing. Do you have any helpful
hints for newbie blog writers? I’d definitely appreciate
it.
Hi! I know this is kind of off topic but I was wondering
which blog platform are you using for this site?
I’m getting fed up of WordPress because I’ve had issues
with hackers and I’m looking at options for another platform.
I would be fantastic if you could point me in the direction of a good
platform.