Wahenga wanasema anaeijua njia hakosei, kwa takribani miongo miwili ya maisha yake ya mpira mchezaji wa Timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassir ya huko Saudi Arabia amekuwa mfumania nyavu borawa muda wote licha ya panda na shuka za kuhama timu kadha wa kadha.
Licha ya kufananishwa uwezo na wachezaji wengi alioanza nao maisha ya mpira na hata vijana wa sasa kama Mbappe,Halaand na Jude Belligham bado Christian Ronaldo ameendelea kuwaka katika kupachika mabao akiwa na muendelezo bora wa miaka kwa miaka
Soma Zaidi:Lionel Messi Reveals No Retirement Plans Yet
Katika mechi iliyochezwa dhidi ya Al-Ittihad , Mkongwehuyo wa miaka 39 alitupia bao lililomfanya kufikisha idadi ya mabao 893 katika maisha yake ya soka na kufikisha mabao 35 kwa msimu 2023/2024 akivunja rekodi iliyoshikiliwa na Abderrzak Hamdallah katika msimu wa 2018/19 wa Saudi Pro Legue.
Ikumbukwe Cristian Ronaldo ni moja ya wachezaji ghali zaidi katika ligi kuu ya Saudi Arabia akisajiliwa kitokea timu ya Manchester United ya nchini uingereza
kupitia mtandao wake wa X Mchezaji huyo ni kama amerusha jiwe gizani hasa kwa wapinzani wake kwa kuandika”I DO NOT FOLLOW THE RECORDS,THE RECORDS FOLLOW ME” akimaanisha kuwa Rekodi humfuata yeye na si yeye huzifata.
Hi there, I found your web site via Google while searching for a related topic, your web site came up, it looks good. I’ve bookmarked it in my google bookmarks.
Hi, I would like to subscribe for this weblog
to obtain most up-to-date updates, therefore where can i do it please help.
Hello! This is my first comment here so I just wanted to
give a quick shout out and tell you I really enjoy reading your blog posts.
Can you suggest any other blogs/websites/forums that go over
the same subjects? Thanks!
I am not sure where you’re getting your information, but ggreat topic.
I needs to spend some time learning much more or understanding more.
Thanks for excellent info I was looking for this information forr my mission.
Kudos, Plenty of facts on vaping laws and regulations!