Sekta Ya Utalii Yaibuka Kidedea Kuleta Mapato
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Sekta ya utalii inaongoza kwa kuiletea nchi ya Tanzania fedha za kigeni ambapo sasa zimefikia dola za Marekani bilioni 3.37 (zaidi ya shilingi za Tanzania trilioni 8) Amesema hayo wakati akizungumza na wahariri …