Wananchi Kigoma Waaswa Kuacha kumaliza Mashauri ya Ukatili Mtaani
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Thobias Andengenye imetakiwa kuachana na tabia ya kumaliza mashauri yanayohusu ukatili wa kijinsia nje ya mifumo ya kisheria na kusababisha usugu wa vitendo hiyo. Kauli hiyo imetolewa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku …