Simba Yatozwa Faini Milioni 1 Shabiki Kufanya Vitendo Vya Kishirikina
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake kuingia uwanjani na kutoa taulo katika mchezo dhidi ya Mashujaa FC. Taarifa ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu …