Bilioni 28 Ujenzi wa Vivuko Vipya Vitano
Ujenzi wa vivuko vipya vitano Mwanza, unaofanywa na serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), unaendelea vizuri na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Septemba mwaka huu. Vivuko hivi, vitakapokamilika, vitaimarisha sana huduma za usafiri kati ya wilaya …