Polisi Songwe wamtafuta aliyemuua Mtoto wa Miezi Minne kwa Fimbo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta Masumbula Nemson, Mkazi wa Kitongoji C katika Kijiji cha Namkukwe, wilayani Songwe kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miezi minne aitwaye Blasto Nemson, kwa kumpiga na fimbo kichwani upande wa kulia wakati …