Rais Samia Waandishi wa Habari Kuhifadhi Siri za Taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa waandishi wa habari kuzingatia uwajibikaji katika kazi zao kwa kuhifadhi siri za kitaifa na kuepuka kufichua mambo ya ndani kwa mataifa ya kigeni. Akizungumza katika …