Kikwete Azungumzia Ufadhili wa Elimu katika AfDB 2024
Katika Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) uliofanyika Nairobi, Kenya tarehe 26 – 28 Mei, 2024, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani …