Polisi na TBS kufunga Mitambo ya kisasa Mipakani
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Ramadhan Ng’anzi amesema Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Nchini (TBS) litajenga vituo maalumu vya ukaguzi wa magari maeneo yote ya mipakani ambapo itafungwa mitambo ya kisasa kwa ajili ya …