Nchemba Awahakikishia Wafanyabiashara Usalama wa Kodi
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewahakikishia wafanyabiashara nchini kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi hususani wafanyabiashara katika …