Ofisi za Masijala Ya Ardhi Dodoma Zafungwa
Mhe. Jerry Silaa, amefanya hatua muhimu katika kuboresha usimamizi wa sekta ya ardhi katika Jiji la Dodoma. Katika ziara yake, Mhe. Silaa ameifunga rasmi Ofisi za Masijala ya Ardhi katika jiji hilo, akiwa na lengo la kuondoa changamoto zinazokabili wananchi …