Ngassa Amjibu Mayele Yanga Kufuga Majini
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa ameposti katika ukurasa wake wa instagram kujibu tuhuma za mchezaji mwenye asili ya Congo Fiston Mayele ,kufuatia tuhuma zilizotolewa jana Feb 12,2024 asubuhi. Katika ujumbe wake huo Ngassa amesema “Kuna kipindi …