Hoja za Muungano Zimefikia Pazuri
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema hatua ya utatuzi wa hoja za Muungano imefikia pazuri hivyo ni jukumu la Serikali kuendelea kutoa elimu hususan kwa vijana ili wapate uelewa kuhusu Muungano. Ameyasema hayo leo Juni 13, 2024 wakati akijibu swali …