LAAC Yatia Shaka Ubadhilifu Wa Fedha Ujenzi Wa Hospitali Rombo
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya LAAC Mhe. Ester Bulaya (Mb)amesema kuwa Kamati haijaridhishwa na usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya Rombo na dalili zinaonesha waziwazi kuna ubadhirifu wa fedha,hayo yamejiri baada ya wajumbe wa kamati kukagua mradi huo. Mhe.Bulaya …