Dark
Light

Tanzania

Latest

Frateri Aliyejinyonga Azikwa Kimya Kimya

May 26, 2024
Ni siku chache zimepita baada ya  kuenea kwa taarifa ya kujinyonga kwa Frateri Rogassuan Massawe aliyedaiwa kujinyonga baada ya kufeli mtihani wa kumvusha daraja moja kwenda jingine katika masomo ya u padre , mwili wake umeweza kupumzishwa huku mamia ya watu wakijitokeza

TACAIDS Yaanika Sababu Ya VVVU kuongezeka

May 26, 2024
Siku tatu baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutoa ripoti ya hali ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) na magonjwa ya zinaa, Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) imeizungumzia ripoti hiyo, ikitaja ugumu inaokabiliana nao katika kuzuia maambukizi mapya

Dereva Shabiby Atuhumiwa Kusababisha Ajali majeruhi 22

May 25, 2024
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva wa basi la kampuni ya Shabiby, Sadick Marugul, akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi watu 22 mapema leo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP. Alex Mkama, amesema ajali hiyo imetokea katika eneo la Kihonda kwa

Nchi Wanachama Kukuza Amani Na Usalama Afrika

May 25, 2024
Katika maadhimisho ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaomba nchi wanachama kujitolea zaidi katika jitihada za kuleta na kudumisha amani

Tanzania Yazidi Kutekeleza Agenda Uchumi Wa Viwanda

May 25, 2024
Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imejitolea kikamilifu kutekeleza agenda ya uchumi wa viwanda nchini Tanzania. Hii ni hatua muhimu katika juhudi za kupiga hatua katika maendeleo ya uchumi wa nchi. Moja ya vipaumbele
1 657 658 659 660 661 814