Dark
Light

Sports - Page 14

Mbappe “Ndoto Yangu Imetimia”

Mshambulizi wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema ni “ndoto yangu kutimia” huku uhamisho wake wa kuelekea Real Madrid ukithibitishwa Jumatatu jioni. Mbappe, 25, atahamia Uwanja wa Bernabeu kwa mkataba wa miaka mitano mkataba wake wa Paris St-Germain utakapokamilika tarehe 30 Juni.
June 4, 2024

Mbappe Na Madrid Mambo BulBul

Uhamisho wa mchezaji wa timu ya PSG ya Nchini Ufaransa Kuelekea Real Madrid ya nchini uhispania limekamilika na muda wowote kuanzia sasa mchezaji huyo nyota wa kutoka nchini ufaransa atatangazwa kama mchezaji mpya wa miamba hiyo kutoka uhispania. Tetesi zinaeleza yakuwa mchezaji
June 3, 2024

Mwakinyo Awaomba Msamaha Mashabiki Zake

Sakata la pambano la Bondia Hassan Mwakinyo na Patrick Allotey kutoka Ghana limemalizika rasmi baada ya wawili hao kuzichapa usiku wa kuamkia leo. Mwakinyo ameshinda pambano hilo lilofanyika Dar es salaam kwa TKO baada ya Allotey kushindwa kuendelea na pambano raundi ya
June 2, 2024

Drew Gordon Former NBA Forward Dies At Age 33

Drew Gordon, a former NBA forward and the brother of Denver Nuggets star Aaron Gordon, has died, according to the team. “The Denver Nuggets organization is devastated to learn about the tragic passing of Drew Gordon,” the team posted on X, formerly known as
May 31, 2024

Captain Andre Ayew Dropped from Ghana squad for Mali

Black Stars Skipper Andre Ayew Omitted from World Cup Qualifiers Squad. Otto Addo revealed his 26-man team for the upcoming crucial 2026 FIFA World Cup qualifying matches against Mali and the Central African Republic. During a press conference on Wednesday, Addo shared
May 29, 2024

Eto’o Amvaa Kwa Maneno Kocha Mpya Cameroon

Mpira wa miguu wa Cameroon ulizidi kuzama katika mgogoro siku ya Jumanne wakati mkutano kati ya rais wa chama cha mpira wa miguu Samuel Eto’o na kocha mpya wa Kibelgiji Marc Brys ulipogeuka kuwa mvutano wa hasira. Ilikuwa mara ya kwanza kwa
May 29, 2024

Ronaldo Azeeka Na Utamu Wake,Aweka Rekodi Mpya

Wahenga wanasema anaeijua njia hakosei, kwa takribani miongo miwili ya maisha yake ya mpira mchezaji wa Timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassir ya huko Saudi Arabia  amekuwa mfumania nyavu borawa muda wote licha ya panda na shuka za
May 28, 2024

Who Is Leading The Coastal Union, Azam Or Simba?

Yesterday was a day of joy and tears for some teams participating in the Tanzanian Premier League. The happiness was evident among the Coastal Union players from Tanga city. This comes after the team secured their participation in the Confederation Cup in
May 26, 2024

Bernabeu Kugeuzwa Ukumbi wa Harusi Kisa Madeni

Hali ya madeni ni mbaya kwa Real Madrid na hii imepelekea kuanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo. Kwa
May 24, 2024
1 12 13 14 15 16 23