Dark
Light

#wizarayaafya #tanzania #magonjwasugu - Page 2

 Onyo Kali Dhidi Ya Matumizi Holela ya Dawa

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi holela ya dawa na kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kukabiliana na changamoto ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA). Waziri Ummy alitoa …
June 13, 2024

Mpango wa Afya Ngazi ya Jamii Pwani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imezindua rasmi utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, ambao una lengo la kuboresha huduma za afya katika ngazi ya …
June 11, 2024

Tanzania Yashinda Tuzo ya Global Impact 2024

Tanzania imepata heshima kubwa kwa kutunukiwa tuzo ya Global Impact Award 2024 kutokana na jitihada zake kubwa na zenye matokeo chanya katika mapambano dhidi ya saratani. Tuzo hiyo imetolewa na Shirika la Global Health Catalyst la Marekani na kupokelewa …
June 10, 2024

Kuimarisha Afya Kupitia Mtindo Bora Wa Maisha

Katika hatua ya kukabiliana na magonjwa Yasiyoambukiza, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza mikakati mbalimbali ikiwemo kampeni ya kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuzingatia mtindo bora wa maisha. Akizungumza hivi karibuni wakati wa matembezi yaliyoandaliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) …
May 27, 2024

ADVERT