Dark
Light

Sports - Page 15

Morocco Crowned Champions After Senegal Forfeit

In a stunning development in African football, Senegal has been stripped of its Africa Cup of Nations title from a chaotic final held just two months ago, with Morocco now officially declared the champions. The Confederation of African Football (CAF) announced on
March 18, 2026

Simba Yakubali Yaishe, Yarusha Kitambaa Ulingoni

BAO lililofungwa na straika wa zamani wa Yanga na Azam, Obrey Chirwa dakika ya 61, limeiweka Simba kwenye mazingira magumu ya kuweza kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Kagera Sugar. Simba ambayo jana jioni kwenye
May 13, 2024

Chehe za Mgunda Baada ya Matokeo Mazuri Mfululizo

Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Simba, Juma Mgunda, amefichua kile ambacho amekifanya kwa wachezaji wake ambao sasa wamekuwa wakipambana uwanjani na kupata matokeo mazuri kwenye michezo yao ya Ligi kuu. Mgunda amesema kuwaweka wachezaji wake karibu na kuongea nao kama mzazi
May 11, 2024

Kibu Mambo Safi Na Simba : 300M Yambakisha

Baada  ya mvutano mkubwa kati ya klabu ya Simba na mshambuliaji wake Kibu Denis juu ya kusaini mkataba mpya, taarifa zinasema kuwa pande hizo mbili hatimaye zimefikia makubaliano na nyota huyo atasalia klabuni hapo kwa misimu miwili zaidi. Taarifa ya uhakika zinasema
May 10, 2024

Yanga Yamtamani Kibu Denis: Yaweka 150M Kumnasa

Yanga ni kama imeamua kujiimarisha zaidi kwa ajili ya msimu ujao, inaelezwa chini ya Rais wa klabu hiyo, Hersi Said, wameanza mazungumzo na nyota wa Simba, Kibu Denis. Mkataba wa mchezaji huyo na Simba unaisha mwishoni mwa msimu huu ingawa Simba wanataka
May 9, 2024

Vita Ya Mfungaji Bora Ligi Kuu Yapamba Moto.

Ile vita ya Mfungaji wa ligi kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba Saidoo Ntibazonkinza na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele Msimu uliopita, Vita iliomalizika Kwa sare ya Wote kulingana magoli (Goli 17)na Kuzua Tafrani
May 6, 2024

Mtibwa Itashuka Na Ndoto Za Vijana Wapenda Mpira

Mtibwa Sugar ina historia kubwa kwenye soka la Tanzania ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa Ligi Kuu mara mbili katikati ya Simba na Yanga. Hakuna asiekumbuka vipaji vilivyowahi kupita na kulelewa na baadae kuitumikia timu hiyo na hata kwenda kwenye timu
May 4, 2024

Simba Yaikimbiza Azam Kimya Kimya

Wakati zikibaki Siku chache kufikia Siku ya Dabi ya Mzizima, (Simba Vs Azam), Wekundu wa Msimbazi Simba leo wameibuka Wababe Dhidi ya Mtibwa Katika mechi ya ligi kuu iliyowakutanisha Mapema leo saa 10 Alaasiri, Ambapo Simba Ameweza kuibuka na Ushindi wa Bao
May 3, 2024

Simba Sets Record For Worst Results

Two goals allowed by Simba the day before yesterday at Majaliwa Stadium, Ruangwa in Lindi region, have set a record for the team of allowing the most goals in their goal net for the first time in nine seasons. In that Premier
May 2, 2024
1 13 14 15 16 17 22