Dark
Light

Tanzania - Page 314

UDOM Lecturer Faces Terrorism Charge

A legal case involving a University of Dodoma lecturer has entered a new and more serious phase after prosecutors formally charged Melkisedek Kaijage with a terrorism-related offence, transforming what initially appeared as a dispute over alleged public protest activities into a case
July 24, 2026

Afrika Yajipanga Kunufaika Na G20

Tanzania imeishauri Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), kutumia kikamilifu fursa ya kiti cha uwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Kundi la nchi Ishirini Tajiri Duniani (G20), kutetea maslahi ya nchi za Afrika ili ziweke kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokwaza maendeleo ya
April 16, 2024

TCAA Yapata Sifa Usimamizi Sekta Ya Anga

Kamati ya Mawasiliano Ardhi Na Nishati Ya Baraza La Wawakilishi Zanzibar imesifu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania kwa jitihada inayofanya katika usimamizi wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania bara na Zanzibar na kupelekea kuimarika usalama  wa usafiri wa  anga nchini.
April 16, 2024

TAMISEMI Yaomba Bunge Kuidhinisha Shilingi Tril.10.125

Ofisi ya Rais – TAMISEMI,  imeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125 kwa taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni
April 16, 2024

Ripoti Ya CAG, Upigaji Bado Upo

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, imeonesha kuwa ununuzi na usimamizi wa mikataba katika mamlaka 35 za serikali za mitaa wa jumla ya Sh. bilioni 4.22 ulifanyika bila kuitisha nukuu za ushindanishi wa bei. Aidha, mamlaka 16 za serikali
April 16, 2024

Wivu Kupindukia ,Sababu Ugonjwa Wa Akili

Daktari Wa Magonjwa ya Akili Kutoka Hospitali Ya Rufaa,Mkoa Mwananyamala, Dkt Jovina Josephat amesema moja ya viashiria vya Mtu Kusumbuliwa na Ugonjwa Wa Akili ni Wivu Ulio Pitiliza Ambao Umekuwa Changamoto Kubwa Hasa Kwa Watu Waliopo Kwenye Mahusiano au Wanandoa. Dkt. Jovina
April 15, 2024
1 312 313 314 315 316 369