Dark
Light

Tanzania - Page 292

Seven Lions Clubs Donate Food Aid to Chamazi Orphans

Seven Lions Clubs have joined forces to provide food assistance to orphans living at the Chamazi Orphanage in Dar es Salaam, reaffirming their commitment to supporting vulnerable children and ensuring they have access to basic necessities. The humanitarian initiative brought together members
June 14, 2026

Manula Anukia Viunga Vya Azam

Uongozi wa Azam FC umedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa Mlinda Lango namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada ya msimu huu kufikia tamati. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zinaeleza kwamba viongozi wanataka kumrejesha nyota huyo aliyeondoka ndani ya kikosi hicho
May 16, 2024

Sharp Increase in Mental Health Patients

The number of patients suffering from mental health disorders has significantly risen over the past year, according to a report presented by the Minister of Health, Ummy Mwalimu, during the budget session for the year 2024/2025 in Dodoma. According to the report,
May 14, 2024

Tanzania Kunufaika Nishati ya EAPP, SAPP

Tanzania inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na Kusini (South Africa Power Pool) katika maeneo mbalimbali ikiwemo biashara ya umeme pamoja na kuunganishwa katika gridi ya pamoja. Hayo yamebainishwa na Naibu
May 14, 2024

Simba Yakubali Yaishe, Yarusha Kitambaa Ulingoni

BAO lililofungwa na straika wa zamani wa Yanga na Azam, Obrey Chirwa dakika ya 61, limeiweka Simba kwenye mazingira magumu ya kuweza kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Kagera Sugar. Simba ambayo jana jioni kwenye
May 13, 2024
1 290 291 292 293 294 362