Dark
Light

Tanzania - Page 276

Tanzania’s Health Vision: Stronger Future Assured

Ministry of Health Secretary Dr . John  Jingu at a seminar held in  Dodoma City. reaffirmed the critical role of his ministry in shaping Tanzania ‘healthcare landscape for the upcoming fiscal year 2024/25 The seminar, attended by senior ministry officials, focused on
June 25, 2024

Polisi Waomba Ushirikiano Kuwalinda Watu Wenye Ualbino

Katika juhudi za kuimarisha usalama na kulinda haki za binadamu, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Fabian Mhagale amewataka wananchi wa Kata ya Mvungwe, Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Mhagale alisisitiza umuhimu
June 25, 2024

DC Pangani Aongoza Vita Dhidi Ukatili

Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mussa Kilakala, ameanza kampeni kali dhidi ya vitendo vya ubakaji na ulawiti, akisisitiza kuwa watu wanaojihusisha na makosa haya watachukuliwa hatua kali za kisheria. Kilakala ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata mtu mmoja katika kijiji cha Bushiri, anayeshtumiwa
June 25, 2024

Mpina Afungiwa Vikao 15 Bungeni

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha adhabu ya kumsimamisha kuhudhuria vikao 15 mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, kwa kulidanganya Bunge kuhusu suala la uagizaji wa sukari kutoka nje. Hatua hii ilifikia
June 25, 2024

JWTZ Yapokea Heshima Baada ya Zoezi

Kikundi cha maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), pamoja na vyombo vya usalama na taasisi za Serikali, kimerejea nchini baada ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la 13 la Medani la nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
June 24, 2024

Serikali Yatoa Wito kuhusu Lishe kwa Mama Wajawazito

Serikali imezitaka taasisi za lishe kushirikiana na sekta ya afya katika kutoa elimu kuhusu lishe kwa mama wajawazito, hatua ambayo inalenga kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alitoa wito huo leo bungeni Dodoma alipokuwa
June 24, 2024

Dar Commissioner Mediates Kariakoo Market Tensions

The Regional Commissioner of Dar es Albert Chalamila intervened in the ongoing standoff at Kariakoo Market, where traders have shuttered their shops in protest against alleged mistreatment by the Tanzania Revenue Authority (TRA). Since Saturday, June 22, 2024, flyers circulating on social
June 24, 2024
1 274 275 276 277 278 371