Dark
Light

Tanzania - Page 275

Majaliwa Akutana na Wafanyabiashara Kuhusu Kodi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, katika jitihada za kutatua changamoto za kodi zinazowakabili wafanyabiashara. Kikao hicho kimefanyika siku ya tatu tangu wafanyabiashara hao walipofunga maduka yao, wakilalamikia mzigo mkubwa wa
June 26, 2024

Tanzania Yashika Nafasi ya 5 Duniani Kuvutia Watalii

Tanzania imeweka historia ya kipekee katika sekta ya utalii kwa kushika nafasi ya 5 kimataifa kwa kuwavutia watalii zaidi, kulingana na takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kwa kipindi cha miezi ya Januari hadi Machi 2024. Taifa hili pia limepata
June 26, 2024

Hifadhi ya Mpanga Kipengere yagawa Ekari 52,877

Hifadhi ya Mpanga Kipengere imechukua hatua muhimu kwa kugawa ekari 52,877.602 kwa vijiji vinavyoizunguka, ikiwa ni juhudi za kutatua migogoro ya mpaka kwenye eneo hilo. Hatua hii imefanyika baada ya mchakato wa kina ulioongozwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ushirikiano
June 26, 2024

Mwenyekiti: Wafanyabiashara Kariakoo Wafungue Maduka

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Kariakoo, Bw. Martin Mbwana, ametoa wito kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao huku wakisubiri suluhisho la mwisho kutoka kwa Serikali kuhusu madai yao. Kauli hii imekuja baada ya siku tatu za mgomo wa wafanyabiashara katika eneo hilo. Akizungumza
June 26, 2024

Waandishi Kuimarisha Ripoti za Bunge Kuepusha Taharuki

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametoa wito kwa waandishi wa habari kuwa na uelewa mzuri wa michakato ya Bunge ili kuripoti kwa usahihi na kuepusha kuzua taharuki kwa wananchi. Waziri Nnauye amesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari
June 26, 2024

Mpaka wa Tanzania, Zambia Kuboreshwa Kudhibiti Mazao

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) amesema katika kudhibiti utoroshwaji wa mazao na bidhaa nchini Serikali imeboresha mpaka kati ya Tanzania na Zambia ambapo Mamlaka ya Mapato (TRA) na Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA) ziliingia makubaliano (MoU) yenye lengo
June 25, 2024

Kamata Wote Wanaochezesha Wanafunzi Ngoma – DC Magoti

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amepiga marufuku Watu kuandaa shughuli za ngoma kama vile mdundiko, unyago na sherehe za muziki na kuruhusu Wanafunzi kujumuika na kuserebuka kwenye shughuli hizo ambapo amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya vitendo hivyo vitabainika akamate kuanzia
June 25, 2024

Geita Yashinda Ubingwa wa UMISSETA Dhidi ya Tabora

Katika fainali ya kusisimua ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) iliyofanyika mjini Tabora, timu ya mpira wa miguu ya wavulana kutoka Geita imetwaa ubingwa kwa kuifunga timu ya Tabora magoli mawili kwa moja. Mashindano haya ambayo yalihusisha timu kutoka mikoa
June 25, 2024
1 273 274 275 276 277 371