Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 234

Tanga Winners Of The Health Competition 2023

On May 11, 2024, the results of the 2023 Health and Environmental Sanitation competition were officially announced by the Ministry of Health in Tanzania. The purpose of these competitions was to promote and recognise efforts to improve health and environmental conditions in
May 11, 2024

Chehe za Mgunda Baada ya Matokeo Mazuri Mfululizo

Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Simba, Juma Mgunda, amefichua kile ambacho amekifanya kwa wachezaji wake ambao sasa wamekuwa wakipambana uwanjani na kupata matokeo mazuri kwenye michezo yao ya Ligi kuu. Mgunda amesema kuwaweka wachezaji wake karibu na kuongea nao kama mzazi
May 11, 2024

Ummy Akerwa kadi za kliniki kuuzwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema anakerwa na tabia iliyozuka katika hospitali na vituo vya afya kuuza kadi za kliniki kwa wajawazito na watoto chini ya miaka mitano kinyume cha Sera ya Afya. Kutokana na hali hiyo amepiga marufuku tabia ya watumishi
May 11, 2024

Air Tanzania’s Dreamliner Grounded in Malaysia

In a surprising turn of events, Air Tanzania’s Boeing 787-8 Dreamliner, registered as 5H-TCJ and named Rubondo Island (Hapa Kazi Tu), has been grounded at the ex-Low Cost Carrier Terminal (LCCT) area for nearly eight months. The aircraft’s maintenance status has remained
May 10, 2024

Kibu Mambo Safi Na Simba : 300M Yambakisha

Baada  ya mvutano mkubwa kati ya klabu ya Simba na mshambuliaji wake Kibu Denis juu ya kusaini mkataba mpya, taarifa zinasema kuwa pande hizo mbili hatimaye zimefikia makubaliano na nyota huyo atasalia klabuni hapo kwa misimu miwili zaidi. Taarifa ya uhakika zinasema
May 10, 2024

Parliament Pushes for Student Healthcare

The Speaker of Parliament, Dr. Tulia Ackson, has called on the Ministry of Health to explore ways to assist economically disadvantaged students in affording the costs of medical treatment. She urged the Ministry to consider a similar arrangement to the one used
May 10, 2024
1 232 233 234 235 236 302