Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Swahili News - Page 10

Tanzania Advances Towards Regional Medical Tourism Hub

Tanzania is poised to cement its position as a leading destination for medical tourism in East Africa, with plans to introduce liver transplant services by the end of 2025. This development builds on the country’s growing reputation for delivering specialized healthcare, including
November 25, 2024

Biteko aanza ziara mkoani Mbeya

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameanza ziara ya kikazi mkoani Mbeya ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya umeme mkoani hapa. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dk. Biteko amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na
February 20, 2024

Ngassa Amjibu Mayele Yanga Kufuga Majini

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa ameposti katika ukurasa wake wa instagram kujibu tuhuma za mchezaji mwenye asili ya Congo Fiston Mayele ,kufuatia tuhuma zilizotolewa jana Feb 12,2024 asubuhi. Katika ujumbe wake huo Ngassa amesema “Kuna kipindi niliamia team
February 13, 2024

Rais Samia Akutana na Papa Francis Vatican Italia

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 12, 2024 amekutana na Papa Francis jijini Vatican na kufanya naye mazungumzo. Viongozi hao wamejadiliana masuala mbalimbali, ikiwemo mchango wa Kanisa Katoliki katika uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii hususani elimu, afya na
February 12, 2024

Msafara Wa Makonda Wapata Ajali Masasi Mtwara

Msafara wa Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda umepata ajali katika eneo la Masasi mkoani Mtwara ukihusisha magari zaidi ya 10. Ajali hiyo iliyotokea saa 9 alasiri imehusisha zaidi ya magari 13 yaliyokuwepo katika msafara wa muenezi
February 11, 2024

Majaliwa aweka jiwe la msingi jengo la TMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA). Ujenzi wa jengo hilo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 6.17 na linatarajiwa kukamilika ifikapo
February 6, 2024
1 8 9 10 11 12