Dark
Light

Sports - Page 16

Morocco Crowned Champions After Senegal Forfeit

In a stunning development in African football, Senegal has been stripped of its Africa Cup of Nations title from a chaotic final held just two months ago, with Morocco now officially declared the champions. The Confederation of African Football (CAF) announced on
March 18, 2026

FIFA Yaipiga Tena Rungu La Usajili Yanga

Ikiwa ni siku chache tu tangu ifungiwe na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufanya usajili kutokana na kukiuka kanuni za uhamisho, Klabu ya Yanga imechafua tena faili lake katika shirikisho hilo baada ya kuzuiwa kwa mara ya pili kusajili kutokana na
May 1, 2024

Kunani; TFF na Yanga?

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Aprili 12, mwaka huu, lilitoa taarifa kwa umma kupitia mtandao wake wa kijamii, likieleza kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), juu ya kufungiwa kwa Klabu ya Yanga kufanya usajili kutokana na kukiuka
April 29, 2024

Shabiki Ajitokeza Peke Yake Uwanjani

Mechi ya ligi daraja la tatu nchini Ufaransa iliyochezwa jana usiku  kati ya Nancy  dhidi ya Le Mans, shabiki mmoja pekee wa Le Mans alikuwa uwanjani kuishangilia timu yake. Shabiki huyo wa Le Mans inaelezwa alisafiri umbali mrefu wa saa sita hadi
April 28, 2024

Fainali ya CCC Yawaangukia Waarabu

Wahenga walipo sema waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba hawakukosea na Aijuae njia katu hapotei, Fainali ya Vilabu Bingwa Afrika Itawakutanisha Timu ya karne kutoka Misri @alahly na Miamba kutoka Tunisia @esperance_sportive_detunis na hii ni baada ya timu zote kufuzu katika mchezo wa nusu Fainali
April 27, 2024

Arne Slot in Talks To Succeed Klopp

Liverpool and Feyenoord are heading towards finalising an agreement for Arne Slot to become Jurgen Klopp’s successor  Talks still remain over appointing Arne Slot after Feyenoord turned down their opening offer for the head coach; Slot has now publicly revealed he wants
April 26, 2024

Bilioni 19.7 Kukarabati Uwanja Wa Uhuru

Neema Imeendelea kumwagika katika sekta ya michezo ikiwemo ukarabati wa viwanja Mbali Mbali na sasa Uwanja wa Uhuru uliopo Pembezoni kidogo mwa uwanja wa Mkapa Utafanyiwa marekebisho makubwa Huku shilingi Bilioni 19.07 Zikielekeza kutekeleza Adhma ya ukarabati Huo. Akizungumza na Wadau na
April 25, 2024

Arsenal Crushes Chelsea 5-0 in London Derby

The Gunners fire five past the Blues for their biggest victory against their London rivals. Leandro Brossard’s fourth-minute drive gave the home side a deserved half-time lead. The two second-half braces from Ben White and Kai Havertz, however, helped hammer Mauricio Pochettino’s
April 24, 2024

“Mbio Za Ubingwa Bado Mbichi”- Kocha Gamondi

Licha ya kuchora ramani nzuri ya kutwaa taji la ubingwa kwa msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameendelea kusisitiza kuwa wanahitaji kupambana na kujitoa katika michezo iliyosalia ya mzunguko huu wa lala salama Ligi Kuu Tanzania Bara ili kufikia malengo
April 22, 2024
1 14 15 16 17 18 22