Dark
Light

Tanzania

Latest

Qatar yatoa msaada waathirika Hanang

February 20, 2024
Serikali nchini Qatar imetoa msaada wa vyakula kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Disemba mwaka jana wilayani Hanang mkoani Manyara na kuua watu 89. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepokea

Biteko aanza ziara mkoani Mbeya

February 20, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameanza ziara ya kikazi mkoani Mbeya ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya umeme mkoani hapa. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dk. Biteko amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na
1 628 629 630 631 632 693