Dark
Light

Tanzania

Latest

Netanyahu to Address US Congress on 24 July

June 9, 2024
 Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to address both chambers of the US Congress, the Senate and the House of Representatives, congressional leaders announced on Thursday. The speech comes as the Israel-Gaza war rages on. Bipartisan invitations were extended to Netanyahu,

Mmoja afariki, watatu wajeruhiwa ajali ya gari Njombe

June 9, 2024
Dereva wa gari la mizigo Adriano Samweli (40) mwenyeji wa Kigoma, amefariki dunia katika ajali iliyotokea Kijiji cha Igumbilo, Kata ya Lupila wilayani Makete mkoani Njombe baada ya kushindwa kulimudu gari hilo na kisha kutumbukia korongoni. Ajali hiyo imetokea usiku kuamkia jana

Wananchi Watakiwa Kuweka Akiba Sehemu Salama

June 9, 2024
Serikali imewataka wananchi kuweka akiba ya fedha zao kwa kuwa akiba ni sehemu mojawapo ya mapato ambayo mwananchi, mfanyabiashara au mjasiriamali anaweza kuhifadhi sehemu salama kwa ajili ya kutimiza malengo aliyojiwekea. Akitoa Elimu kwa Wananchi wa Kijiji cha Muze Wilaya ya Sumbawanga

Mkurugenzi wa RSF Afariki Dunia

June 9, 2024
Christophe Deloire, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wanahabari wasio na mipaka (RSF), amefariki jana akiwa na umri wa miaka 53. Deloire amefariki kutokana na saratani mbaya, RSF ilisema katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa kwa AFP ambapo alikuwa ameshikilia wadhifa wake

Diddy Apewa Shahada Ya Heshima

June 8, 2024
Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean “Diddy” Combs shahada yake ya heshima. Tangazo hilo linakuja baada ya CNN kuchapisha video ya CCTV ya mtayarishaji huyo wa muziki wa

Malisa Aachiwa Huru, Akimbizwa Hospitali

June 8, 2024
Ripoti ya Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Dhamana kwa Mchambuzi wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa Tarehhe 06 June Mchambuzi maarufu wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa, alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu tuhuma kadhaa zinazohusiana na
1 629 630 631 632 633 802