Dark
Light

Tanzania

Latest

Bil.18.5 Kutumika Ujenzi wa Mifereji ya Maji Tabora

June 10, 2024
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Zainab Katimba amesema serikali inahitaji kiasi cha shilingi bilioni 18.47 kwa ajili ya ujenzi wa mifereji ya kupokea maji ya mvua katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora. Amesema

Enhancing Education Access New Report Launch

June 10, 2024
The Civil Society Organization, HakiElimu, has unveiled a comprehensive report addressing the availability of quality education for children residing in informal settlements in urban areas. The report aims to enhance education accessibility for this demographic in Tanzania. The research, conducted by HakiElimu

Miti Milioni 266 Yapandwa Tanzania Bara

June 10, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuwa miti milioni 266 imepandwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara hadi kufikia Machi 2024. Akiwa bungeni jijini Dodoma leo, Juni 10, 2024, Dkt.

Vita Ya Al-Shabaab Na Somalia Yaondoka Na Vifo Vya Watu

June 10, 2024
Wakaazi wanasimulia milipuko iliyosikika huku kundi la wanamgambo la Al-Shabaab likidai kuhusika na shambulio la Ceeldheer. Kikosi cha Somali kimekuwa kikipigana na wanamgambo wa Alshabab kwa zaidi ya miaka 16. Serikali ya Somalia ilisema wanajeshi wake watano walikufa katika vita, huku wakiwaua

Gov’t Aims For Middle-Income Status By 2050

June 10, 2024
In a recent intervie televised on the state-own media, the Minister of Planning and Investment, Professor Kitila Mkumbo, shared remarkable progress in Tanzania’s fight against poverty. With 25 years of the National Development Vision (2000-2025), the country has successfully reduced its poverty
1 556 557 558 559 560 730