Dark
Light

Tanzania - Page 285

Mbowe: Tathmini Ya Maandamano Kwa Mikoa 13

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikihitimisha jana awamu ya kwanza ya maandamano yake katika mikoa 13 nchini, Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, ametoa tathmini ya maandamano hayo kwamba yalilenga mambo manne. Miongoni mwa mambo hayo ni kueleza Watanzania namna Tume
May 1, 2024

Petroli Dar Es Salaam Yafikia 3,314

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya ya rejareja kwa lita ya petroli kufikia Sh3,314 ikiwa ni bei ya juu zaidi tangu Sh3,410 iliyotangazwa Agosti, 2022. Bei ya petroli kupitia katika bandari ya Dar es Salaam
May 1, 2024

Tasnia ya Habari ni Wito na Inahitaji Maadili

David Isack Luninzo, mkongwe wa tasnia ya habari mwenye umri wa miaka 92, ametoa maoni muhimu kuhusu hali ya tasnia ya habari na changamoto zinazokabiliwa nayo. Katika mahojiano, Luninzo amesisitiza kuwa tasnia ya habari ni wito na sio kila mtu anayeweza kuongea
April 29, 2024

Kunani; TFF na Yanga?

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Aprili 12, mwaka huu, lilitoa taarifa kwa umma kupitia mtandao wake wa kijamii, likieleza kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), juu ya kufungiwa kwa Klabu ya Yanga kufanya usajili kutokana na kukiuka
April 29, 2024
1 283 284 285 286 287 346