Dark
Light

Tanzania - Page 282

TANROADS Mzigoni Kutatua Athari za Hidaya Kusini

 Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakandarasi wanaendelea na kazi ya kurejesha miundombinu ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zikiambatana na kimbunga Hidaya. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi Mha. Emil Zengo ameyasema hayo
May 5, 2024

Director Khalfani Afariki Dunia

Aliyekuwa muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro‘ amefariki Dunia alfajir ya leo tarehe 5 May 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya
May 5, 2024

Mawaziri Wa EAC Waweka Maadhimio Sekta Ya Afya

Mawaziri wa Afya wa Mataifa Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kwa mikakati na kusitisha ushirikiano zaidi katika kuboresha utoaji wa huduma za afya. lengo hili lilifikiwa katika Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya
May 4, 2024

Mtibwa Itashuka Na Ndoto Za Vijana Wapenda Mpira

Mtibwa Sugar ina historia kubwa kwenye soka la Tanzania ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa Ligi Kuu mara mbili katikati ya Simba na Yanga. Hakuna asiekumbuka vipaji vilivyowahi kupita na kulelewa na baadae kuitumikia timu hiyo na hata kwenda kwenye timu
May 4, 2024

Kenya Floods: Death Toll Reaches 210 Amid Heavy Rains

The death toll from the raging floods and landslides triggered by heavy rains in Kenya since March has risen to 210, with dozens of people still missing, the government announced on Friday. The Ministry of Interior and National Administration reported that 196,296
May 4, 2024
1 280 281 282 283 284 346