Dark
Light

Tanzania - Page 277

Tanzania Kunufaika Nishati ya EAPP, SAPP

Tanzania inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na Kusini (South Africa Power Pool) katika maeneo mbalimbali ikiwemo biashara ya umeme pamoja na kuunganishwa katika gridi ya pamoja. Hayo yamebainishwa na Naibu
May 14, 2024

Simba Yakubali Yaishe, Yarusha Kitambaa Ulingoni

BAO lililofungwa na straika wa zamani wa Yanga na Azam, Obrey Chirwa dakika ya 61, limeiweka Simba kwenye mazingira magumu ya kuweza kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Kagera Sugar. Simba ambayo jana jioni kwenye
May 13, 2024

Government Initiates Health Workforce Expansion.

The Ministry of Health has planned to implement 10 priorities using 86 interventions estimated to cost a total of TZS 1,311,837,466,000 in the upcoming fiscal year 2024/25. This budget will cover regular expenditures, income, and various development projects for that year. The
May 13, 2024

T-Pesa Encouraged To Expand Locally, Internationally

 T-Pesa, a subsidiary of the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) offering mobile financial services, has been called upon to work creatively and expand its horizons beyond Tanzania by offering electronic payment services across the region and globally. This directive comes at a time
May 13, 2024

Serikali Kujenga Kituo Jumuishi cha Parachichi Rungwe

Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Akizungumza baada ya Waziri Mkuu Kassim majaliwa ambaye yuko ziarani Mkoani Mbeya kuhoji
May 12, 2024

Nchemba Awahakikishia Wafanyabiashara Usalama wa Kodi

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewahakikishia wafanyabiashara nchini kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi hususani wafanyabiashara katika maendeleo ya
May 12, 2024
1 275 276 277 278 279 346