Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 216

 Onyo Kali Dhidi Ya Matumizi Holela ya Dawa

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi holela ya dawa na kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kukabiliana na changamoto ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA). Waziri Ummy alitoa tahadhari hiyo Juni
June 13, 2024

Tanzania Focuses on Alternative Energy Solutions

Tanzania is reaffirming its commitment to alternative energy sources to ensure a stable and sufficient power supply for its growing population and economy. Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, emphasized this strategy during a meeting with a delegation
June 12, 2024

Cadena Atimua Mbio Simba

Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Daniel Cadena ametoa shukrani kwa uongozi wa Simba ikiwa ndio mkono wa kwaheri ndani ya klabu hiyo, Cadena ameyasema haya kupitia ukurasa wake wa instagram. “Asanteni nimeifahamu SIMBA na nimehisi mapenzi yangu kwa klabu hii
June 12, 2024

Youth Urged for Regular Cancer Screenings

Young people are being urged to undertake regular health screenings to take preventive measures against breast and cervical cancer. Ms. Zauja Mohamed, Founder and CEO of Nuru Yetu Foundation in Dar es Salaam, emphasized the importance of these check-ups in detecting early
June 12, 2024

Vijana Mgombee, Muache Kubeba Mabegi ya Wagombea

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Cde.Seif Abdul Namtusi amezungumza na waandishi wa habari na kuzungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo yaliyotekelezwa na serikali Wilayani Masasi chini ya ilani ya CCM ya mwaka,2020/ 2025
June 12, 2024
1 214 215 216 217 218 303