Dark
Light

Education - Page 13

10 Tanzanian students win scholarships to study in Russia

Ten Tanzanian students who performed exceptionally well in the PCM, PGM and PMC combinations have secured scholarships to pursue higher education at RUDN University in Moscow, Russia, under the Samia Scholarship Extended programme. The scholarship opportunity follows President Samia Suluhu Hassan’s official
August 14, 2026

Walimu Watafanya Mtihani Ili Kupata Ajira

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, ametangaza mkakati mpya wa utekelezaji wa Sera ya Elimu nchini ambao utahitaji walimu wapya wanaotafuta ajira kufanya mtihani maalum ili kuthibitisha uwezo wao. Prof. Mkenda aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi
June 8, 2024

Wizara Ya Elimu Kuhimiza Maboresho ya Mitaala

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuendelea kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu katika mchakato wa kuboresha mitaala ili iendane na Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014
June 8, 2024

Kagera Teachers Get Empowerment Boost

The Deputy Secretary-General of the Office of the President (Tamisemi) responsible for education matters Dr. Charles Msonde, has urged teachers to embrace new teaching methods and foster integrity in their profession. Dr. Msonde made these remarks during separate meetings with education officials
June 1, 2024

NECTA Yaondoa Maswali ya Kuchagua Hisabati

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed, ametangaza kuwa kuanzia mwaka huu hakutakuwa na maswali ya kuchagua katika mitihani ya Hisabati. Hatua hii inalenga kuboresha uelewa na umahiri wa wanafunzi katika somo hilo muhimu. Dkt. Mohamed alitoa taarifa hii
June 1, 2024
1 11 12 13 14 15 17