Malisa Aachiwa Huru, Akimbizwa Hospitali
Ripoti ya Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Dhamana kwa Mchambuzi wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa Tarehhe 06 June Mchambuzi maarufu wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa, alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu tuhuma kadhaa …