Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Swahili News

Tanzania Advances Towards Regional Medical Tourism Hub

Tanzania is poised to cement its position as a leading destination for medical tourism in East Africa, with plans to introduce liver transplant services by the end of 2025. This development builds on the country’s growing reputation for delivering specialized healthcare, including
November 25, 2024

Malisa Aachiwa Huru, Akimbizwa Hospitali

Ripoti ya Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Dhamana kwa Mchambuzi wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa Tarehhe 06 June Mchambuzi maarufu wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa, alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu tuhuma kadhaa zinazohusiana na
June 8, 2024

Ukatili Dhidi Ya Albino walaaniwa Vikali

Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu, Maduhu William, amekemea ukatili dhidi ya watu wenye u albino na kutaka jeshi la polisi likomeshe matukio hayo. Amesema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la kutekwa mtoto
June 6, 2024

Asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana plastiki

Wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani imeelezwa kuwa asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana chembechembe za plastiki kutokana na ongezeko la uchafuzi wa taka hizo ndani ya Ziwa hilo linalohudumia watu zaidi ya milioni 40. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji
June 6, 2024

EWURA Announces Reduction in Fuel Prices

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has announced a notable reduction in the cap prices of petroleum products in Tanzania, effective from today, Wednesday, June 5, 2024, at 6:01 AM. For the month of June 2024, retail fuel prices in
June 5, 2024

Utafiti: Watoto Uswazi Hali Mbaya Kielimu

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na shirika la HakiElimu umebaini kuwa wanafunzi wanaoishi katika makazi duni mijini, maarufu kama ‘uswazi’, wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi kielimu ikilinganishwa na wenzao wa vijijini. Matokeo haya yameonyeshwa katika Ripoti ya Utafiti kuhusu hali ya upatikanaji
June 5, 2024

Askofu Ajinyonga Chanzo Ni Madeni

Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa. Kiongozi huyo wa kiroho, ameacha waraka mrefu ukieleza sababu za kuchukua uamuzi huo kuwa ni
May 18, 2024
1 2 3 12