Dark
Light

Tanzania

Latest

Mawasiliano ya Barabara Chanika Yarejeshwa

April 28, 2024
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS), inaendelea na urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta athari katika baadhi ya maeneo Mkoani Dar es Salaam ikiwemo barabara ya Chanika – Ukonga. Akizungumza kwa

Over 100 Inmates Escape Nigerian Prison After Rain Damage.

April 28, 2024
At least 118 inmates escaped from prison after heavy rains on Wednesday night damaged the facility in Suleja near the Nigerian capital, a prison service spokesperson said. The prolonged rainfall damaged sections of the medium-security prison, including the perimeter wall and nearby

Walio Sambaza Video ya Waziri Mstafu Matatani

April 27, 2024
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka mtu aliyerekodi video iliyokuwa ikimwonyesha Waziri na Mbunge Mstaafu wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, akidhalilishwa kwa maneno, vitisho, dharau na kutishiwa kufungwa pingu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP)   Pius

Police Issues Statement Regarding Zuchy’s Death

April 27, 2024
The Tanzanian Police Force has urged individuals with different information regarding the motorcycle accident that occurred yesterday morning, Friday, April 26, 2024, in the Makonde area of Dar es Salaam, resulting in the death of Noel Mwingira, popularly known as Zuchy, to

Bashe Ajibu Shutma: Mbolea Feki Kenya Zinatoka Tanzania

April 27, 2024
Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, amejibu tuhuma zilizotolewa na mwanasheria maarufu wa Kenya, Ahmednassir Abdullahi, kuhusu asili ya mbolea bandia inayosambazwa nchini Kenya. Mwanasheria Mkuu Abdullahi, akidai kufanya kazi kulingana na “taarifa zenye tija”, alitumia akaunti yake  ya X kwa

Wanafunzi Colombia Maandamanoni: Hatua za Kijeshi Gaza

April 27, 2024
Waandamanaji wanaopinga vita vya Gaza wameapa kusalia katika kambi kwenye Chuo Kikuu cha Columbia hadi matakwa yao yatakapotekelezwa, licha ya kukamatwa kwa watu wengi na kuchukuliwa hatua.Zaidi ya wanafunzi 100 walikamatwa katika kambi ya waandamanaji ya New York City wiki iliyopita, na

Fainali ya CCC Yawaangukia Waarabu

April 27, 2024
Wahenga walipo sema waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba hawakukosea na Aijuae njia katu hapotei, Fainali ya Vilabu Bingwa Afrika Itawakutanisha Timu ya karne kutoka Misri @alahly na Miamba kutoka Tunisia @esperance_sportive_detunis na hii ni baada ya timu zote kufuzu katika mchezo wa nusu Fainali
1 566 567 568 569 570 696