Dark
Light

Tanzania

Latest

Viongozi Simba Wasema “No” Ofa Ya Chama

May 18, 2024
Wakati Simba wakiendelea kuwapa mikataba mipya baadhi ya wachezaji wake, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Mzambia, Clatous Chama, amesema anahitaji kulipwa Dola za Marekani 300,000 ( zaidi ya Sh. milioni 765), ili akubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Taarifa

Askofu Ajinyonga Chanzo Ni Madeni

May 18, 2024
Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa. Kiongozi huyo wa kiroho, ameacha waraka mrefu ukieleza sababu za kuchukua uamuzi huo kuwa ni

Embracing Humility, For Titles Are Fleeting

May 18, 2024
In the course of overseeing the implementation of development projects in Muheza District, the District Commissioner, Zainab Abdallah, has directed her officials to adopt a different mindset regarding their authority and positions. ReadMore;Earth Day 2024: Uniting for a Plastic-Free Future Speaking during

Mbunge Waitara Akataa Ushoga Bungeni

May 18, 2024
Mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ulioendelea Bungeni jijini Dodoma ulikuwa na mkondo wa kigeni baada ya Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mhe. Mwita Waitara, kuelezea msimamo wake kuhusu suala la ushoga…..   Soma zaidi;British Soldiers In Kenya Have
1 562 563 564 565 566 711