Dark
Light

Tanzania

Latest

Ruto Praises Youth, Promises New Kenya

June 23, 2024
President William Ruto has stated that the efforts of the youth in fighting for their country have been noticed and are encouraging. Therefore, he is engaging them to discuss their concerns and build a new Kenya. He said this during a church

Wahasisi wa Maandaano Kariakoo Matatani

June 23, 2024
Jeshi la Polisi Nchini limesema kuwa tangu Juni 22, 2024 kupitia baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kulionekana tangazo linalosambazwa lenye kichwa cha habari kilichosomeka “KUFUNGA BIASHARA ZETU”. Akitoa taarifa hiyo leo jijini Arusha Msemaji wa Jeshi la

Watumishi wa Afya Longido Kupatiwa Nyumba

June 23, 2024
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, ameziagiza Timu za Afya za mkoa na wilaya kutoa kipaumbele katika kuwapatia makazi watumishi wa sekta ya afya wa Wilaya ya Longido. Dkt. Mollel amezitaka timu za uendeshaji wa huduma za afya (CHMT) wilayani Longido

Msako wa Dada Poa Bado Upo Palepale – Chalamila

June 23, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameendelea kutoa msimamo na kusisitiza suala la oparesheni ya kuwakamata Madada Poa lililoanzishwa na DC wa Ubungo, Hassan Bomboko ni zoezi endelevu na kusema litaendelea kufanywa na Wakuu wote wa Wilaya za Dar

Muhula wa Rais Mwinyi Kuongezwa hadi Miaka Saba

June 23, 2024
Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar imependekeza kuongeza muda wa muhula wa Rais Hussein Mwinyi kutoka miaka mitano hadi saba. Pendekezo hili, likipitishwa na Kamati Maalum, linaashiria mabadiliko makubwa katika taswira ya kisiasa ya Zanzibar, likichochewa na utendaji

Boxer’s Seizure Shocks Audience at Match

June 22, 2024
Professional US boxer, known for his prowess in the ring, suffered a sudden medical emergency that stunned spectators and halted the fight. Tramaine Williams, competing against Ryan Allen, collapsed and appeared to experience a seizure in the first round, prompting immediate medical

China’s COMAC poised to break Airbus, Boeing duopoly – Reuters

June 22, 2024
The global aviation landscape, Chinese state-owned aircraft manufacturer COMAC is poised to challenge the long-standing dominance of Airbus and Boeing in the passenger jet market. This potential disruption, anticipated to unfold over the next decade, could redefine competitive dynamics within the industry,
1 540 541 542 543 544 731